Mato
ShowsHow it worksAI talentsFree toolsPricing
Book a demo
ShowsHow it worksAI talentsFree toolsPricingSign in
Mato
Mato

The first generation of AI talents. Live AI media for brands, networks and creators.

ElevenLabs GrantsAWS ActivateGoogle for StartupsNVIDIA Inception Program

Product

  • How it works
  • AI talents
  • Documentation
  • The studio
  • Pricing
  • Embed player
  • Mato MCP
  • Mato Voice
  • Voice Studio
  • Changelog

Company

  • About
  • Vision
  • Partners
  • Affiliates
  • Blog
  • CustomersComing soon
  • CareersComing soon
  • Press kit
  • Contact

Resources

  • Investor overview
  • Free podcast tools
  • Free podcast transcription
  • Podcast ROI calculator
  • API docsComing soon
  • SecurityComing soon
  • StatusComing soon

© 2026 Mato. All rights reserved.

English · Multiple languages available

PrivacyTerms

Live Interview

And why does that matter?

This is how a Mato agent talks. Take the other seat: answer a few and feel it follow the thread.

Try it yourself

Podcast charts

SBS Swahili - SBS Swahili

Published by SBS

  • Society & culture
  • News
  • Daily news

Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Listen on Apple Podcasts, opens in a new tabMake something like it

On the charts

1 chart placement

Every published chart this podcast appears in, in the snapshot behind this page. Each one links to the chart it came off.

  1. Number 151Daily newsAustralia

From the feed

Recent episodes

The latest episodes published to this podcast’s own RSS feed. Titles and descriptions are the publisher’s.

  1. Mumbi afunguka kuhusu maandalizi ya tamasha ya filamu zaki Afrika nchini Australia from SBS Swahili - SBS Swahili, opens in a new tab

    Sep 2, 202612 min

    Wanachama wa Jumuiya za Afrika wanao ishi jijini Sydney, New South Wales wana jiandaa kuhudhuria tamasha maalum.

  2. Makala Leo: Dunia yamkumbuka gwiji wa muziki Dolly Parton from SBS Swahili - SBS Swahili, opens in a new tab

    Aug 28, 20269 min

    Gwiji wa muziki wa Country, Dolly Parton, amefariki akiwa na umri wa miaka 80.

  3. Yaliyojiri Afrika: CCM yamtimua Dkt Emmanuel Nchimbi from SBS Swahili - SBS Swahili, opens in a new tab

    Aug 28, 20267 min

    Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM umemvua uanachama Emmanuel Nchimbi na kumpitisha Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, kujaza nafasi ya Makamu wa Rais.

  4. Taarifa ya Habari:Australia yatoa kifurushi cha usaidizi cha dola milioni 5 kwa jamii zilizoathiriwa nchini Nepal from SBS Swahili - SBS Swahili, opens in a new tab

    Aug 28, 202614 min

    Serikali ya Australia inaanzisha kifurushi cha usaidizi cha dola milioni 5 kwa jamii zilizoathiriwa nchini Nepal, huku idadi ya Waaustralia waliopotea ikiongezeka hadi 39.

  5. Makala Leo:Kwa nini baraza lamawaziri wakitaifa haliku gusa vituo vya mbadala vya data from SBS Swahili - SBS Swahili, opens in a new tab

    Aug 28, 202610 min

    Mkutano wa viongozi wa shirikisho, majimbo na wilaya ulimuacha Waziri Mkuu Anthony Albanese akikubali agizo la vituo vya data vinavyoweza kutumika tena.

  6. Makala Leo:Wa Australia 34 miongoni mwa watu ambao wamepotea katika mafuriko Nepal from SBS Swahili - SBS Swahili, opens in a new tab

    Aug 28, 202611 min

    Takriban watu 160 wameuawa, na mamia wakiwemo watalii na Waaustralia 34 hawajulikani walipo, kufuatia mafuriko makubwa yaliyotokea kwenye mpaka wa Nepal na Tibet.

  7. Taarifa ya Habari:Makumi yawa Australia hawajulikani waliko katika mafuriko nchini Nepal from SBS Swahili - SBS Swahili, opens in a new tab

    Aug 27, 20265 min

    Waziri Mkuu Anthony Albanese amethibitisha kuwa Waaustralia 34, hawajulikani walipo baada ya mafuriko makubwa ya ghafla kwenye mpaka wa Nepal-Tibet.

  8. Yaliyojiri Afrika:Ujumbe maalum wafuatilia usitishaji mapigano DRC from SBS Swahili - SBS Swahili, opens in a new tab

    Aug 25, 20267 min

    Ujumbe wa kwanza wa aina yake umetumwa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kufuatilia utekelezaji wa usitishaji mapigano kati ya jeshi la serikali na kundi la waasi la M23, linaloungwa mkono na Rwanda.

  9. Taarifa ya Habari:Hospitali za New South Wales kupewa nafasi zaidi za matibabu from SBS Swahili - SBS Swahili, opens in a new tab

    Aug 25, 202614 min

    Hospitali za New South Wales zitapata nafasi zaidi za matibabu za muda mfupi ili kupunguza shinikizo kwa idara za dharura.

  10. Makala Leo: Mrundikano wa visa za wenza unao waacha waaustralia katika sintofahamu from SBS Swahili - SBS Swahili, opens in a new tab

    Aug 25, 20268 min

    Mchakato mpya wa kipaumbele ambao unaweza fanya baadhi ya raia wa Australia, wasubiri kwa muda mrefu zaidi kwa wenzi wao kupokea visa umesababisha ukosoaji.

  11. Makala Leo:'Usibofye kitu chochote':Jinsi barua pepe moja inavyoweza haribu biashara from SBS Swahili - SBS Swahili, opens in a new tab

    Aug 25, 20267 min

    Waaustralia wanapoteza mamia ya mamilioni ya dola kutokana na matapeli, huku matapeli wakizidi kutumia akili mnemba kuwadanganya waathiriwa wao.

  12. Taarifa ya Habari:Ripoti mpya yaitaka Australia iboreshe usalama wa dawa na itoe wakalimani kwa jamii za tamaduni mbalimbali from SBS Swahili - SBS Swahili, opens in a new tab

    Aug 21, 202613 min

    Ripoti mpya imeangazia changamoto kubwa za usalama wa dawa zinazowakabili Waaustralia wenye tamaduni mbalimbali, na inatoa wito wa upatikanaji mkubwa wa taarifa na wakalimani wa dawa zinazotumia lugha nyingi.

  13. Yaliyojiri Afrika:7 wafariki katika ajali ya helikopta Kenya from SBS Swahili - SBS Swahili, opens in a new tab

    Aug 21, 20267 min

    Watu saba, wakiwemo raia watano wa Marekani na mkuu wa ujasusi wa Ecuador, wamefariki baada ya helikopta ya watalii kuanguka karibu na Mlima Ololokwe, katika kaunti ya Samburu nchini Kenya.

  14. Makala Leo:Mabadiliko ya NDIS yatakuathiri vipi? from SBS Swahili - SBS Swahili, opens in a new tab

    Aug 21, 202612 min

    Mamia ya maelfu ya watu watapoteza msaada kutoka NDIS, baada ya mabadiliko yanayolenga kupunguza ukuaji katika mpango huo kupitishwa ndani ya Seneti kwa uungwaji mkono wa Upinzani wa Mseto usiku wakuamkia.

  15. Yaliyojiri Afrika:Askari pori watuhumiwa kwa mauaji ya raia Tanzania from SBS Swahili - SBS Swahili, opens in a new tab

    Aug 18, 20267 min

    Kituo cha sheria cha haki za binadamu Tanzania, kime eleza wasiwasi kuhusu madai ya watu kuuawa, kujeruhiwa au kupotea katika maeneo ya hifadhi nchini humo.

  16. Taarifa ya Habari:Upinzani wa Mseto watishia kuzuia mabadiliko ya NDIS isipokuwa mwanya wa kodi ya mjane utakapofungwa from SBS Swahili - SBS Swahili, opens in a new tab

    Aug 18, 202613 min

    Upinzani wa Mseto unatishia kuzuia mabadiliko ya serikali kwa NDIS, isipokuwa serikali ya Labor iharakishe sheria ya kufunga kile kinachoitwa kodi ya mjane.

  17. Makala Leo:Mageuzi ya NDIS yanatarajiwa kuwa sheria ila, wanaharakati wadai makato yata sababisha madhara from SBS Swahili - SBS Swahili, opens in a new tab

    Aug 18, 202616 min

    Mageuzi ya Mpango wa Kitaifa wa Bima ya Watu Wenye Ulemavu yamejadiliwa katika Seneti, huku sheria ikitarajiwa kupitishwa wiki hii kwa msaada wa Upinzani wa Mseto.

  18. Can you pick fruit from someone's garden? - Australia Yafafanuliwa:Je, unaweza chuma matunda kutoka bustani ya mtu? from SBS Swahili - SBS Swahili, opens in a new tab

    Aug 18, 202610 min

    Walking through an Australian suburb, you might spot everything from curry leaves and lemons to tomatoes and herbs growing in front gardens or on verges. But is it legal to pick it? This guide explains when it's legal to pick produce, why permission matters, and how community gardens offer another way to grow your own food. - Ukitembea katika kitongoji cha Australia, unaweza ona kila kitu kuanzia majani ya kari na limau hadi nyanya na mimea inayokua katika bustani za mbele au kwenye ukingo. Lakini je, ni halali kuvivuna? Mwongozo huu unaelezea wakati ni halali kuvuna mazao, kwa nini ruhusa ni muhimu, na jinsi bustani za jamii zinavyotoa njia nyingine ya kukuza chakula chako mwenyewe.

  19. Taarifa ya Habari:Wafanyakazi wa kusambaza vyakula kuongezewa mshahara kuanzia leo from SBS Swahili - SBS Swahili, opens in a new tab

    Aug 17, 20265 min

    Takriban idadi yawa Australia 250,000 wanaosafirisha vyakula kutoka hotelini na dukani kwa ajili ya kujikimu, wanatarajiwa kupokea mshahara wa chini kisheria kwa mara ya kwanza.

  20. Makala Leo:Serikali kuwekeza mamilioni katika nyumba za waathiriwa wa unyanyasaji wa majumbani; lakini je, inatosha? from SBS Swahili - SBS Swahili, opens in a new tab

    Aug 14, 202611 min

    Mgogoro wa makazi ukiendelea, vurugu za kifamilia na majumbani (DFSV) ndio sababu kuu ya wanawake na watoto kuondoka nyumbani kwao na kukosa makazi.

Ranking source

Apple Podcasts rankings via the Mato Topic Intelligence Platform.

Observed September 21, 2026.

Apple and Apple Podcasts are trademarks of Apple Inc., registered in the U.S. and other countries.

Pairs with

What to do with a chart

01ShowsThe shows Mato publishesEvery public Mato show, its episodes, and the Apple placements it holds.02AI talentPick the voice before the formatThe live roster of hosts, each with samples you can listen to before you commit.03How it worksFrom an idea to a published episodeWhat Mato does between the brief and the feed, step by step.

Steal the structure, not the show

Bring this source into Mato to read its transferable patterns, then turn them into an original show for your own audience.

Hear a Mato showCreate a show inspired by this